ELIWANGU MSHANA
....Mimi ni mpare kutoka mkoani kilimanjaro,Elimu yangu ngazi ya chuo kikazi niko nje ya mkoa wa kilimanjaro mimi ni kijana ninalo neno.
Lengo ni kuomba vijana wenzangu tujitambue na kujiuliza baadhi ya maswali kisha kujaribu kujibu kwa faida ya wote ungana na mimi kama ifuatavyo.
Vijana wenzangu sisi ndio wenye idadi kubwa katika nchi yetu na duniani kwa ujumla najiuliza kua je tunajitambua? yatupasa tujitambue kua sisi ndio kizazi kilichopo na kioo cha nchi kwa ujumla na sisi ndio wazee wa kesho.
Kama ndio hivyo kwanini tunakua na tabia ambazo zinaondoa taswira nzuri ya ujana wetu? kwanini tulaumiwe kwa mambo ambayo tunaweza kuyadhibiti sisi wenyewe?
Sisi vijana tunalaumiwa kuwa wezi,sisi vijana tunalaumiwa madawa ya kulevya,sisi vijana ndio tunatumiwa kama daraja kwa watu wasio na nia nzuri na nchi yetu kwanini?.
TUJITAMBUE sisi vijana uhalifu si saizi yetu kwani hizo ni tamaa za kutajirika kwa mda mfupi ambazo wakati mwingine huweza kukatisha hata maisha yetu na ndoto zetu kupotea vijana tukatae haya hayatufai kabisa.
Tusitumike katika maandamo yasiyo rasmi kwani hutuondolea utu na heshima ya nchi kwa ujumla bali tuwe wasikivu na wavumilivu hakika kwa kuweza haya tutakua mfano mzuri kwa jamii.
Pia vijana tunayo nafasi ya kujenga nchi yetu,tunayo nafasi ya kutangaza uzalendo na kila mmoja akawa mzalendo wa kweli katika nchi yetu tukatae usaliti wa nchi yetu tudumishe amani yetu na tujitume.
ASANTE KARIBU UTOE MAONI YAKO AU HATA KUBADILISHANA MAWAZO NA PIA KARIBU KWA MABORESHO YA BLOG HII:NAPATIKANA 0763576207. email eliwangumshana@yahoo.com